Job 38:31-34


31 a“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia?
Waweza kulegeza kamba za Orioni?

32 bWaweza kuyaongoza makundi ya nyota kwa majira yake,
au kuongoza Dubu na watoto wake?

33 cJe, unajua sheria zinazotawala mbingu?
Waweza kuweka utawala wa Mungu duniani?


34 d“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni,
na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji?
Copyright information for SwhKC